Sopu amweka Diarra kiporo

Mwanaspoti
Published: Jun 02, 2023 10:30:48 EAT   |  Sports

MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Abdul Sopu amesema kwa sasa wao kama wachezaji wanafanya maandalizi ya kumaliza msimu kwa kushinda mechi zilizosalia huku akimweka kiporo kipa wa Yanga, Djigui Diarra.