Simba yapewa ramani kuwaua Waarabu

Mwanaspoti
Published: Dec 08, 2023 07:38:14 EAT   |  Sports

NYOTA wa zamani wa Simba wameipa ramani timu hiyo ya kuibuka na ushindi kesho katika mchezo wa tatu wa hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika wakati itakapokuwa wageni wa Wydad Casablanca ya Morocco katika mechi itakayopigwa Marrakesh.