Simba, Yanga zaipa mzuka Geita

Mwanaspoti
Published: Mar 24, 2023 11:15:44 EAT   |  Sports

KITENDO cha Simba na Yanga kufuzu robo fainali ya michuano ya kimataifa ya CAF na kuipa nafasi Tanzania kuwakilishwa tena na timu nne msimu ujao, imeiongezea mzuka Geita Gold katika kupambana kwenye Ligi Kuu ili kumaliza nafasi za juu na kupata tiketi ya michuano hiyo.