Robertinho aweka wazi mikakati mipya, awagusia watani

Mwanaspoti
Published: Jun 02, 2023 06:35:44 EAT   |  Sports

KOCHA Mkuu wa Simba,Robert Oliveira 'Robertinho'amewahakikishia mashabiki kwamba kuna mapinduzi makubwa yanakuja kwenye usajili wa klabu hiyo.