Robertinho aacha msala kwa viongozi, usajili wapamba moto

SIMBA imeendelea kujifua katika uwanja wake wa Mo Simba Arena, Bunju na wakati huohuo wakiweka mipango ya msimu ujao ikiwemo usajili unaoendelea kimya kimya huku mastaa wake wakiwekwa kiporo.