Nabi asuka hesabu kali, awajaza upepo mastaa

Mwanaspoti
Published: Jun 02, 2023 06:49:56 EAT   |  Sports

MASHABIKI wa Yanga wamegawanyika, wapo ambao wamekata tamaa wakiona ni kama timu yao imeshakosa ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika na wako wengine wanaona timu yao itarudisha furaha yao kwenye mchezo wa ugenini na hawa ndio wako pamoja na kocha wao, Nasreddine Nabi.