Mwamnyeto: Tulieni, Yanga bado ina nafasi

Mwanaspoti
Published: Dec 09, 2023 14:39:07 EAT   |  Sports

WAKATI mashabiki na wapenzi wa Yanga wakiingiwa ubaridi kutokana na timu hiyo kulazimishwa sare ya pili mfululizo kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nahodha wa kikosi hicho, Bakar Mwamnyeto amewatuliza kwa kusema nafasi bado ipo kwani mechi mbili za uwanja wa nyumbani zitakazowavusha.