Mpole afichua siri za Lupopo

STRAIKA wa FC Lupopo, Mtanzania George Mpole amesema jambo kubwa alilojifunza kwenye Ligi Kuu ya nchini Congo ni mchezaji kujisimamia mwenyewe bila uangalizi wa kocha na viongozi, kikubwa kinachotazamwa ni kile anachokitoa uwanjani.