Mo atoa billion 2 kujenga Uwanja Simba

Mwanaspoti
Published: Dec 13, 2021 09:55:34 EAT   |  Sports

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba Mohamed Dewji 'Mo' amehaidi kutoa sh billion 2 kwa ajili ya ujenzi wa Uwanja wao.