JKT TZ yaanza na sare nyumbani

MAAFANDE wa JKT Tanzania imeambulia pointi moja ikicheza kwa mara ya kwanza nyumbani baada ya jioni hii kulazimishwa sare ya bao 1-1 na Kagera Sugar katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyopigwa Uwanja wa Kambarage, mjini Shinyanga.