Daktari Simba afunguka ishu ya Manula

Mwanaspoti
Published: Jun 02, 2023 10:10:40 EAT   |  Sports

DAKTARI Mkuu wa Simba, Edwin Kagabo ameshusha presha kwa mashabiki wa timu hiyo kuhusiana na hali ya kipa, Aishi Manula aliyeko nchini Afrika Kusini kwa ajili ya matibabu ya nyama za paja.