City haipoi, Nonga kishua zaidi

Mwanaspoti
Published: Jun 02, 2023 15:55:42 EAT   |  Sports

Wakati zikibaki siku nne kuendelea na ligi kuu, Mbeya City imeendelea na mazoezi kwa ajili ya mchezo ujao dhidi ya Yanga huku ilishuhudiwa timu hiyo ikitumia masaa matatu kujifua katika uwanja wa Sokoine.