Baresi akubali yaishe Mashujaa FC

MASHUJAA imecheza mechi nane mfululizo bila kupata ushindi katika Ligi Kuu Bara, kitu kimemfanya Kocha Mkuu wa timu hiyo, Abdallah Mohamed 'Baresi' kuamua kubwaga manyanga kwa kuandika barua ya kujiuzulu kukinoa kikosi hicho.