Baleke mambo bado kabisaaa

Mwanaspoti
Published: Mar 24, 2023 11:03:21 EAT   |  Sports

STRAIKA wa Simba, Jean Baleke amesema ana kazi kubwa ya kuifanya ili kuhakikisha huduma yake inakuwa na manufaa ndani ya kikosi hicho na mashabiki wanafurahia burudani anayoitoa anapokuwepo uwanjani.