Azam yamtimua Lwandamina na benchi la ufundi

Mwanaspoti
Published: Dec 13, 2021 10:56:32 EAT   |  General

UONGOZI wa klabu ya Azam Fc umewatimua benchi zima la klabu hiyo baada ya kutoka sare 0-0 dhidi ya Kagera Sugar mchezo uliochezwa jana katika uwanja wa Chamazi.