Amrouche awavimbia Waganda

KOCHA wa Taifa Stars, Adel Amrouche ameeleza namna ambavyo kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa kuwania nafasi ya kufuzu kwa ajili ya fainali za mataifa ya Afrika dhidi ya Uganda huku akiamini nyota wake wanaweza kuwapa raha Watanzania.