Amroache aanza na mabadiliko Stars

KOCHA mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Adel Amrouche ametoa kikosi chake cha kwanza kitakachoivaa Uganda kwenye mechi ya kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika (Afcon 2023), mchezo utakaoanza saa 11:00 jioni katika uwanja qa Suez Canal, Musri huku kocha huyo akionekana kuanza na mabadiliko makubwa.