Warembo wanaounda kundi la TxC wametuletea hii single yao mpya wakiwa na Khanyisa

Ni Warembo wanaounda kundi la TxC ‘Tarryn na Clair’ ambapo time hii wametuletea hii collabo yapo mpya ya wimbo wao waliomshirikisha Khanyisa uitwao Vuka Mawulele.