Wakali wa Amapiano ‘Pcee & Justin99’ wameshatua Dar kuinogesha Elements Masaki usiku wa leo

Milard Ayo
Published: Mar 11, 2023 17:01:43 EAT   |  Entertainment

Ni Wakali wawili kutokea Afrika Kusini Pcee & Justin99 ambao tayari wameshatua Dar es Salaam kwaajili ya kuwaburudisha watanzania wanaoupenda muziki wao unaotikisa kwasasa unaofahamika kwa jina la Amapiano. Wakali hao wawili anatarajiwa kutoa burudani leo machi 11, 2023 katika Chimbo liitwalo Elements BAR iliyopo Masaki Dar es Salaam na hizi ni baadhi ya picha alivyowasili […]

Ni Wakali wawili kutokea Afrika Kusini Pcee & Justin99 ambao tayari wameshatua Dar es Salaam kwaajili ya kuwaburudisha watanzania wanaoupenda muziki wao unaotikisa kwasasa unaofahamika kwa jina la Amapiano.

Wakali hao wawili anatarajiwa kutoa burudani leo machi 11, 2023 katika Chimbo liitwalo Elements BAR iliyopo Masaki Dar es Salaam na hizi ni baadhi ya picha alivyowasili katika Airport ya JNIA.

.
.
.
.
.
.
.
.
.

.