Wakali wa Amapiano kutumbuiza Elements BAR Machi 11th, ifahamu ngoma yao inayotamba DAR

Ikiwa bado Afrika Kusini wanaendelea kuchukua vichwa vya habari hususani kupitia muziki wao unaopeta kwasasa kwenye chart mbalimbali. Sasa taarifa ninayotaka kukupatia ni kwamba Wakali kutokea Afrika Kusini Pcee & Justin99 wanatarajiwa kutumbuiza Machi 11 Jumamosi hii katika Chimbo liitwalo Elements BAR Masaki lilipo Dar es Salaam. Miongoni mwa ngoma walizowahi kusikika ni hii akiwa ZoTata […]
Ikiwa bado Afrika Kusini wanaendelea kuchukua vichwa vya habari hususani kupitia muziki wao unaopeta kwasasa kwenye chart mbalimbali.
Sasa taarifa ninayotaka kukupatia ni kwamba Wakali kutokea Afrika Kusini Pcee & Justin99 wanatarajiwa kutumbuiza Machi 11 Jumamosi hii katika Chimbo liitwalo Elements BAR Masaki lilipo Dar es Salaam.
Miongoni mwa ngoma walizowahi kusikika ni hii akiwa ZoTata pamoja na nyingine waliyoimba jina la kiswahili “Kilimanjaro”.
View this post on Instagram
A post shared by ELEMENTS (@elementstz)