Video:’Tunataka kuhama,mifugo inaliwa na wanyama wakali, wanatufilisi” wananchi waiomba serikali…..

Milard Ayo
Published: Aug 31, 2023 12:57:46 EAT   |  Travel

Wananchi wa vijiji vya Irkeepus na Olchani omelock za kata ya Nainonoka wilayani Ngorongoro Mkoa Arusha Wamesema wameshangazwa na maisha ya Msomera ikiwemo kuona Mahindi ya kuchoma kwa mara ya kwanza pamoja na kilimo huku wengine wakisimulia jinsi walivyofilisika baada ya mifugo yao kushambuliwa na wanyama katika Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro nakushindwa kuwahudumia watoto […]

Wananchi wa vijiji vya Irkeepus na Olchani omelock za kata ya Nainonoka wilayani Ngorongoro Mkoa Arusha Wamesema wameshangazwa na maisha ya Msomera ikiwemo kuona Mahindi ya kuchoma kwa mara ya kwanza pamoja na kilimo huku wengine wakisimulia jinsi walivyofilisika baada ya mifugo yao kushambuliwa na wanyama katika Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro nakushindwa kuwahudumia watoto wao ikiwemo kuwapeleka shule.

 

Tazama zaidi…