Video: Tazama Mazishi ya AKA nchini Afrika Kusini, mtoto wake ashindwa kujizuia

Ni Feb 18, 2023 ambapo yamefanyika mazishi ya Rapper AKA huko nchini Afrika Kusini. Hapa nimekusogezea video hii ushuhudie mwanzo mwisho mazishi hayo yaliyofanyika. INAHUZUNISHA MTOTO MDOGO WA AKA ALIVYOMBEMBELEZA MCHUMBA WA BABA YAKE MSIBANI
Ni Feb 18, 2023 ambapo yamefanyika mazishi ya Rapper AKA huko nchini Afrika Kusini.
Hapa nimekusogezea video hii ushuhudie mwanzo mwisho mazishi hayo yaliyofanyika.