Uzinduzi wa Olema, tazama Aunty, Kajala, Luku na Wolper walivyowasili, Uwoya afunguka

Milard Ayo
Published: Sep 08, 2023 23:55:24 EAT   |  Entertainment

Usiku huu wa imezinduliwa Filamu ya Superstar Irene Uwoya @ireneuwoya8 iitwayo Olema katika kumbi za cinema za Arusha ambapo amesindikizwa na Wasanii wenzie Mastaa wa Bongo Movie ambao ni Wolper, Kajala, Lulu Michael na Aunty Ezekiel Uwoya amepokelewa kimasai na kuvishwa shuka la kimasai jekundu lenye heshima kwa Jamii ya Kimasai.

Usiku huu wa imezinduliwa Filamu ya Superstar Irene Uwoya @ireneuwoya8 iitwayo Olema katika kumbi za cinema za Arusha ambapo amesindikizwa na Wasanii wenzie Mastaa wa Bongo Movie ambao ni Wolper, Kajala, Lulu Michael na Aunty Ezekiel

Uwoya amepokelewa kimasai na kuvishwa shuka la kimasai jekundu lenye heshima kwa Jamii ya Kimasai.