Utaipenda!! Warembo wanaounda kundi la TxC walivyoinogesha Groove Cartel, utashangazwa na ubunifu wao

Milard Ayo
Published: Mar 18, 2023 14:55:29 EAT   |  Entertainment

Mbali na kwamba South Africa bado wanaendelea kupeta kwenye vichwa vya habari Duniani kwa utoaji wa ladhaa tofauti ya muziki wao unaotamba kwa jina la Amapiano. Leo nakukutanisha na wakali wanaounda kundi la TxC Tarryn na Clair ushuhudie namna walivyoinogesha Groove Cartel najua utaipenda mtu wangu.

Mbali na kwamba South Africa bado wanaendelea kupeta kwenye vichwa vya habari Duniani kwa utoaji wa ladhaa tofauti ya muziki wao unaotamba kwa jina la Amapiano.

Leo nakukutanisha na wakali wanaounda kundi la TxC Tarryn na Clair ushuhudie namna walivyoinogesha Groove Cartel najua utaipenda mtu wangu.