Tupac Shakur Kupokea tuzo ya ‘Dead Star on Hollywood Walk of Fame’

Milard Ayo
Published: Jun 01, 2023 13:57:24 EAT   |  News

Tupac Shakur baada ya kifo chake anatunukiwa kama nyota kwenye Hollywood Walk of Fame takriban Miaka 27 baada ya kufariki kwake kulingana na CBS News. Kulingana na kituo hicho, Ana Martinez, mtayarishaji wa shirika hilo, alipost taarifa hiyo kupitia Twitter siku ya Jumatano. Katika tweet, Martinez alishiriki picha ya Tupac na maelezo mafupi kuhusiana na […]

Tupac Shakur baada ya kifo chake anatunukiwa kama nyota kwenye Hollywood Walk of Fame takriban Miaka 27 baada ya kufariki kwake kulingana na CBS News.

Kulingana na kituo hicho, Ana Martinez, mtayarishaji wa shirika hilo, alipost taarifa hiyo kupitia Twitter siku ya Jumatano. Katika tweet, Martinez alishiriki picha ya Tupac na maelezo mafupi kuhusiana na sherehe inayokuja.

“Tupac Shakur to be honored with the 2,758th star on the Hollywood Walk of Fame!”

“Ceremony will be held on June 7, at 10:30 am Catch livestream at walkoffame.com #WalkofFame“unaweza pia kuitazama show hiyo mubashara.

Aidha, shirika  hilo pia lilishiriki taarifa rasmi kwa vyombo vya habari kuhusu tukio hilo. Kulingana na toleo hilo, mwigizaji maarufu wa redio Big Boy atashiriki hafla hiyo wakati wazungumzaji waalikwa watajumuisha Mkurugenzi Allen Hughes, Jamal Joseph, na dadake Tupac, Sekyiwa Shakur, ambao watampokea nyota huyo kwa niaba ya Shakur.

 “Tupac Shakur was a rapper, actor, activist, poet, and revolutionary.  This iconic artist has continued to be part of the zeitgeist for decades after his passing and will continue to be an important cultural figure for many years to come… The late Tupac Shakur is an internationally recognized artist renowned for his work, defying distinction between art and activism. Though his career lasted just five years, Tupac Shakur remains one of the most complex and prolific artists of his generation with over 75 million records sold worldwide…”

Heshima hiyo inawasili takriban wiki moja kabla ya kuadhimisha Miaka 52 ya Kuzaliwa kwa Tupac