Tazama Chino Kidd alivyoicheza “Gibela” jukwaa la Kidimbwi Beach DSM, apata shangwe

Milard Ayo
Published: Mar 06, 2023 08:55:11 EAT   |  Entertainment

Ni Usiku wa kuamkia Machi 6, 2023 ambapo mkali Chino Kidd ambae ni dancer wa Marioo kwa mara ya kwanza  alifanya show ya kutumbuiza nyimbo zake ikiwemo ya Gibella aliyomshirikisha mtayarishaji S2kizzy na Mfana Kah Gogo. Burudani hiyo ilitolewa katika chimbo la Kidimbwi Beach lililopo Mbezi jijini Dar es Salaam.

Ni Usiku wa kuamkia Machi 6, 2023 ambapo mkali Chino Kidd ambae ni dancer wa Marioo kwa mara ya kwanza  alifanya show ya kutumbuiza nyimbo zake ikiwemo ya Gibella aliyomshirikisha mtayarishaji S2kizzy na Mfana Kah Gogo.

Burudani hiyo ilitolewa katika chimbo la Kidimbwi Beach lililopo Mbezi jijini Dar es Salaam.