Suma Mnazaleti katuletea hii video mpya ‘Boss Kasema’ itazame hapa

Ni Mkali kutokea Bongo Flevani, Suma Mnazaleti ambae time hii ametuletea hii video mpya ya wimbo wake uitwao Boss Kasema. Unaweza ukabonyeza play kuitazama kisha usisahau kuandika neno lolote ili mkali huyo akipita asome mlichomuandikia.
Ni Mkali kutokea Bongo Flevani, Suma Mnazaleti ambae time hii ametuletea hii video mpya ya wimbo wake uitwao Boss Kasema.
Unaweza ukabonyeza play kuitazama kisha usisahau kuandika neno lolote ili mkali huyo akipita asome mlichomuandikia.