‘Suala la Kukatika kwa Umeme kumepungua’- Waziri January Makamba

Milard Ayo
Published: Jun 01, 2023 17:40:48 EAT   |  News

Ni June 1, 2023 ambapo Waziri wa Nishati, January Makamba amehitimisha Mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Nishati Bungeni Dodoma. Miongoni aliyoyazungumza ni kuhusiana na sakata la kukatika kwa Umeme nchini. “Suala la kukatika kwa umeme; suala hili ni changamoto ya muda mrefu kwenye bajeti yetu. Tunafarijika kwamba sasa hivi ni kwa maeneo mahsusi. Kwenye […]

Ni June 1, 2023 ambapo Waziri wa Nishati, January Makamba amehitimisha Mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Nishati Bungeni Dodoma.

Miongoni aliyoyazungumza ni kuhusiana na sakata la kukatika kwa Umeme nchini.

“Suala la kukatika kwa umeme; suala hili ni changamoto ya muda mrefu kwenye bajeti yetu. Tunafarijika kwamba sasa hivi ni kwa maeneo mahsusi. Kwenye bajeti ya mwaka jana, Wabunge wengi zaidi lilikuwa linawagusa katika maeneo yao. Kadiri muda unavyoenda maeneo yanapungua. Hatusemi tumemaliza lakini maeneo yanapungua”- Waziri wa Nishati, January Makamba.