Spika Dkt Tulia awavaa tena Vijana apigilia Kauli ya Rais Samia, “Lazima ujifunze”

Milard Ayo
Published: Mar 22, 2023 10:54:50 EAT   |  News

Baada ya Rais kuzindua programu ya vijana ya jenga kesho iliyobora (BBT) iliyochini ya wizara ya kilimo yenye lengo la kutoa ajira kwa vijana zaidi ya milioni tatu,Spika wa bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson ametaka vijana kujengwa kifra ili kuamini kilimo ni sehemu ya ajira. Dkt. Tulia ametoa ushauri huo jijini Dodoma kwenye Programu […]

Baada ya Rais kuzindua programu ya vijana ya jenga kesho iliyobora (BBT) iliyochini ya wizara ya kilimo yenye lengo la kutoa ajira kwa vijana zaidi ya milioni tatu,Spika wa bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson ametaka vijana kujengwa kifra ili kuamini kilimo ni sehemu ya ajira.

Dkt. Tulia ametoa ushauri huo jijini Dodoma kwenye Programu maalum ya mikopo ya kilimo kwa wanawake na vijana inayotolewa na TADB bila riba ambapo amesema vijana wengi wamekuwa wakiamini kilimo ni sehemu ya waliokosa kazi za kufanya “Ni muhimu kuendelea kuzungumza na vijana mtu asione kwamba naenda kwenye kilimo kwakuwa nimekosa sehemu zingine zote”