Silent Ocean Ltd watoa taarifa kwa wateja wao mabadiliko ya Muda wa kazi, fahamu hapa

Milard Ayo
Published: Mar 23, 2023 14:29:36 EAT   |  Sports

Ni Simba wa Bahari huyo si mwingine ni Silent Ocean Limited ambapo leo Machi 23, Machi 2023 wametoa taarifa kwa wateja wao wote kwamba katika mfumo huu wa mwezi mtukufu wa Ramadhani kutakuwa na mabadiliko ya muda wa kazi ambapo ofisi za Lumumba zitakuwa zinafunguliwa kuanzia saa mbili asubuhi mpaka Saa kumi Alasiri. Kampuni hiyo imeendelea […]

Ni Simba wa Bahari huyo si mwingine ni Silent Ocean Limited ambapo leo Machi 23, Machi 2023 wametoa taarifa kwa wateja wao wote kwamba katika mfumo huu wa mwezi mtukufu wa Ramadhani kutakuwa na mabadiliko ya muda wa kazi ambapo ofisi za Lumumba zitakuwa zinafunguliwa kuanzia saa mbili asubuhi mpaka Saa kumi Alasiri.

Kampuni hiyo imeendelea kuboresha huduma zao kwa upande wa masoko na taarifa mbalimbali zitakufikia wewe mteja wao.

.
.
.
.
.
.