Rose atobolewa jicho nakung’atwa na Fisi akipambana kumzuia asile ng’ombe zake

Milard Ayo
Published: Aug 13, 2023 17:05:33 EAT   |  Travel

Mwanamke anayeitwa Rose Kapande mkazi wa kijiji cha Napai katika kata ya Nainokanoka Wilayani Ngorongoro Mkoani Arusha amesimulia jinsi alivyotobolewa jicho lake la upande wa kushoto nakukatwa vidole viwili vya mkono wake huku akisema alivamiwa na fisi huyo wakatai akipambana naye asili ng’ombe wake. Akizungumzia tukio hilo amesema kuwa anaiomba Serikali kuharakisha mchakato wa kuwahimisha […]

Mwanamke anayeitwa Rose Kapande mkazi wa kijiji cha Napai katika kata ya Nainokanoka Wilayani Ngorongoro Mkoani Arusha amesimulia jinsi alivyotobolewa jicho lake la upande wa kushoto nakukatwa vidole viwili vya mkono wake huku akisema alivamiwa na fisi huyo wakatai akipambana naye asili ng’ombe wake.

Akizungumzia tukio hilo amesema kuwa anaiomba Serikali kuharakisha mchakato wa kuwahimisha wananchi wanaoishi katika hifadhi ya Ng’orongoro kwa kuwa wamekuwa wakipata changamoto nyingi ikiwemo kuvamiwa na wanyama.