Rosa Ree katuletea Diss track yake ‘Mama Omollo’ itazame hapa

Milard Ayo
Published: Aug 27, 2023 18:20:17 EAT   |  Entertainment

Ni Queen kutokea kwenye kiwanda cha Hip Hop Tanzania, Rosa Ree ambae time hii ameachia hii video mpya ya wimbo wake Diss Track iitwayo Mama Omollo. Itazame hapa.

Ni Queen kutokea kwenye kiwanda cha Hip Hop Tanzania, Rosa Ree ambae time hii ameachia hii video mpya ya wimbo wake Diss Track iitwayo Mama Omollo.

Itazame hapa.