Rafiki wa alIyejirusha Ghorofani, apatikana ampigia simu mkewe, afika nyumbani

Milard Ayo
Published: Jun 01, 2023 17:33:18 EAT   |  News

Kijana Tyson Nduguru, Rafiki wa karibu wa Joel Misesemo (MC Joel) aliyejirusha ghorofa ya 7 Makumbusho Dar es salaam na kufariki dunia, ambaye aliripotiwa kutoweka ghafla siku tatu tangu kutokea kwa kifo cha Joel, amepatikana leo June 1 2023. Mke wa Tyson, Grace Rashid ameithibitishia Ayo TV kwa kusema yafuatayo ——> “Ni kweli Tyson amepatikana […]

Kijana Tyson Nduguru, Rafiki wa karibu wa Joel Misesemo (MC Joel) aliyejirusha ghorofa ya 7 Makumbusho Dar es salaam na kufariki dunia, ambaye aliripotiwa kutoweka ghafla siku tatu tangu kutokea kwa kifo cha Joel, amepatikana leo June 1 2023.

Mke wa Tyson, Grace Rashid ameithibitishia Ayo TV kwa kusema yafuatayo ——> “Ni kweli Tyson amepatikana mchana wa leo, mimi nilitoka kama kawaida nilikua naendelea na mizunguko akanipigia simu yeye mwenyewe, nimefika nyumbani nimeshaonana nae ni mzima wa afya, mpaka sasa sijaongea nae lolote Watu wapo wengi tupo na familia, nitawajulisha zaidi baadae”