Q Chief katuonesha orodha ya nyimbo zinazopatikana katika album yake ‘The Last Meal’

Milard Ayo
Published: Feb 01, 2023 08:22:36 EAT   |  Technology

Ni Mkongwe  kutokea Bongo Flevani, Q Chief ambae time hii ametuonesha orodha ya nyimbo zake zinazopatika katika Album yake aliyoipa jina la The Last Meal. Staa huyo kupitia ukurasa wake wa instagram alipost cover ikionesha nyimbo 10 mpya ambazo zitapatikana katika Album hiyo mpya. 1.Naumia ft Dogo Janja 2.Japanes Eyes 3.Open My Eyes 4.Nasema Nae 5.Ukikaa […]

Ni Mkongwe  kutokea Bongo Flevani, Q Chief ambae time hii ametuonesha orodha ya nyimbo zake zinazopatika katika Album yake aliyoipa jina la The Last Meal.

Staa huyo kupitia ukurasa wake wa instagram alipost cover ikionesha nyimbo 10 mpya ambazo zitapatikana katika Album hiyo mpya.

1.Naumia ft Dogo Janja

2.Japanes Eyes

3.Open My Eyes

4.Nasema Nae

5.Ukikaa vibaya feat Professor Jay

6.Unaumenya

7.Tik Tok feat Kusah

8.Imagination feat Bushoke

9.Kidebe feat Tamimu

10.Mikoba

Unaweza ukakaa karibu kupitia platforms zake kupata taarifa zaidi >>> HAPA