Picha: Wakali wa Amapiano ‘2wo Bunnies’ wakifanya Soundcheck, kuwaburudisha watanzania Usiku wa leo Elements Masaki

Milard Ayo
Published: Feb 18, 2023 21:09:19 EAT   |  Entertainment

Ni headlines za Wakali Afrika Kusini, 2wo Bunnies ambao tayari wameshatua Dar es Salaam kwaajili ya kuwaburudisha watanzania wanaoupenda muziki wao unaotikisa kwasasa unaofahamika kama Amapiano. Hapa nimekusogezea ushuhudie picha kadhaa wakifanya soundcheck ama maandalizi ya kwaajili ya kuwaburudisha watanzania usiku wa Feb 18, 2023 katika chimbo liitwalo Elements BAR lililopo  Masaki jijini Dar es Salaam.

Ni headlines za Wakali Afrika Kusini, 2wo Bunnies ambao tayari wameshatua Dar es Salaam kwaajili ya kuwaburudisha watanzania wanaoupenda muziki wao unaotikisa kwasasa unaofahamika kama Amapiano.

Hapa nimekusogezea ushuhudie picha kadhaa wakifanya soundcheck ama maandalizi ya kwaajili ya kuwaburudisha watanzania usiku wa Feb 18, 2023 katika chimbo liitwalo Elements BAR lililopo  Masaki jijini Dar es Salaam.

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.