Picha: Mkali wa Amapiano Musa Keys akifanya Soundcheck, kuimba live Usiku wa leo Elements Masaki

Ni headlines za msanii na Dj kutokea Afrika Kusini,Musa Keys ambae tayari ameshatua Dar es Salaam kwaajili ya kuwaimbia watanzania wanaoupenda muziki wao unaotikisa kwasasa unaofahamika kama Amapiano. Na hapa nimekusogezea picha ushuhudie akifanya Soundcheck katika Chimbo ambalo atakalotoa burudani usiku wa leo maarufu kama Elements Bar iliyopo Masaki Dar es Salaam.
Ni headlines za msanii na Dj kutokea Afrika Kusini,Musa Keys ambae tayari ameshatua Dar es Salaam kwaajili ya kuwaimbia watanzania wanaoupenda muziki wao unaotikisa kwasasa unaofahamika kama Amapiano.
Na hapa nimekusogezea picha ushuhudie akifanya Soundcheck katika Chimbo ambalo atakalotoa burudani usiku wa leo maarufu kama Elements Bar iliyopo Masaki Dar es Salaam.