Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’

Milard Ayo
Published: Jun 02, 2023 16:12:04 EAT   |  Educational

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni HALIMA BULEMBO amewataka Watumishi pamoja na wakuu wa Idara waliopo katika Wilaya hiyo kuwa Waumini wa kusikiliza kero zinazo wakabili Wananchi na hatimaye kuzifanyia kazi ikiwa ni sehemu ya kutekeleza wajibu wao katika utumishi. Uhitaji wa fursa za kimaendeleo kwenye Sekta ya Afya, Miundombinu ya Barabara, umeme , Elimu, pamoja […]

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni HALIMA BULEMBO amewataka Watumishi pamoja na wakuu wa Idara waliopo katika Wilaya hiyo kuwa Waumini wa kusikiliza kero zinazo wakabili Wananchi na hatimaye kuzifanyia kazi ikiwa ni sehemu ya kutekeleza wajibu wao katika utumishi.

Uhitaji wa fursa za kimaendeleo kwenye Sekta ya Afya, Miundombinu ya Barabara, umeme , Elimu, pamoja na utatuzi migogoro ya ardhi ni miongoni mwa mambo ambayo yamekua shubili kwenye baadhi ya mitaa iliyopo Wilaya ya Kigamboni.

.
.
.
.
.
.

.
.

.