Noma!! Tazama Gigy Money alivyompagawisha msanii wa Nigeria Jukwaani

Milard Ayo
Published: Feb 27, 2023 11:11:01 EAT   |  Entertainment

Ni Usiku wa kuamkia Feb 27, 2023 ambapo mkali kutokea Nigeria Bayanni anayetamba na wimbo wa Ta Ta Ta alitumbuiza live Katika chimbo la Kidimbwi Beach lilipo Dar es Salaam na hapa nimekusogezea ushuhudie shangwe alilopewa na pale ambavyo Gigy alipoamua kupanda jukwaani na kucheza nae yaani kumpa shangwe tazama.