Nay wa Mitego aachiwa kwa dhamana, ashitakiwa kwa makosa haya, afungka kwa uchungu

Rapper Nay wa Mitego leo Septemba 6, 2023 aliripoti katika kituo cha Polisi Kati ( Police Central) Jijini Dar es salaam kuitikia wito kuhusu wimbo wake wa ‘Amkeni’ ambao hivi karibuni Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilitangaza kuufungia kuchezwa katika vituo vyote vya Radio na Televisheni. Sasa Staa huyo ameachia kwa Dhamana na hapa ndicho […]
Rapper Nay wa Mitego leo Septemba 6, 2023 aliripoti katika kituo cha Polisi Kati ( Police Central) Jijini Dar es salaam kuitikia wito kuhusu wimbo wake wa ‘Amkeni’ ambao hivi karibuni Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilitangaza kuufungia kuchezwa katika vituo vyote vya Radio na Televisheni.
Sasa Staa huyo ameachia kwa Dhamana na hapa ndicho alichozungumza na millardayo.com kuhusu kile kilichojiri.