Nancy, Billnass walivyoungana na watoto wa Mastaa kwenye birthday party ya Mtoto wao

Milard Ayo
Published: Aug 21, 2023 19:00:32 EAT   |  Technology

Wanandoa Nandy na Billnass wamemuonesha mtoto wao kwa mara ya kwanza toka wampate miezi 12 iliyopita baada ya kufunga ndoa iliyotimiza mwaka mmoja. Mtoto wao waliompa Jina la Kenaya William Nicholaus Lyimo wame mpost kwenye Instagram zao na hapa nimekusogezea ufahamu kile kinachojiri muda katika hafla ya motot uhyo iliyowakutanisha watoto wa mastaa kwenye birthday […]

Wanandoa Nandy na Billnass wamemuonesha mtoto wao kwa mara ya kwanza toka wampate miezi 12 iliyopita baada ya kufunga ndoa iliyotimiza mwaka mmoja.

Mtoto wao waliompa Jina la Kenaya William Nicholaus Lyimo wame mpost kwenye Instagram zao na hapa nimekusogezea ufahamu kile kinachojiri muda katika hafla ya motot uhyo iliyowakutanisha watoto wa mastaa kwenye birthday hiyo.