Msanii wa Nigeria atua DSM, kuinogesha Kidimbwi Beach Usiku wa leo, afunguka haya

Milard Ayo
Published: Feb 26, 2023 16:26:34 EAT   |  Entertainment

Msanii wa muziki kutokea Nigeria, Abimbola Oladokun maarufu kama Bayanni ametua katika ardhi ya Tanzania ambapo anatarajia kufanya show katika fukwe za Bahari Kidimbwi, Dar es Salaam. Ayo Tv tumezungumza na Bayanni anayetamba na wimbo wa ‘Ta ta ta’ ambapo amewataja wasanii wa Bongo anaowakubali akiwemo Harmonize na Diamond Platnumz. “Ni mara ya kwanza kuwa […]

Msanii wa muziki kutokea Nigeria, Abimbola Oladokun maarufu kama Bayanni ametua katika ardhi ya Tanzania ambapo anatarajia kufanya show katika fukwe za Bahari Kidimbwi, Dar es Salaam.

Ayo Tv tumezungumza na Bayanni anayetamba na wimbo wa ‘Ta ta ta’ ambapo amewataja wasanii wa Bongo anaowakubali akiwemo Harmonize na Diamond Platnumz.

“Ni mara ya kwanza kuwa Tanzania, nina furaha na watu watarajie makubwa, kuhusu collaboration kwa sasa tufanye siri ila watu watarajie nitafanya na msanii mmoja wapo,”.

.
.
.