Mrembo Ella Mai katuletea hii Album yake mpya ‘Heart on my Sleeve’ isikilize hapa

Milard Ayo
Published: May 09, 2022 23:35:11 EAT   |  General

Ni Mkali mrembo mwenye uraia wa Uingereza aishie Marekani mrembo Ella Mai (28) ambae Dunia ilimtambua baada ya kufanya vizuri kwenye hits single zake kadhaa zikiwemo, ‘Boo’d Up, Trip ambazo zilimpa airtime za kutosha hususani Kupitia kwenye charts za Billboard.

Sasa  kwa mwaka huu 2022 amerudi kivingine na ameachia Album yake yake iitwayo Heart On My Sleeve yenye nyimbo zisipopungua 12, unaweza ukasikiliza hapa.

1.Ella Mai- Hide

2. Ella Mai- How feat Roddy Ricch

3.Ella Mai- Break My Heart

4.Ella Mai- Didn’t Say feat Latto

5.Ella Mai – Power Of A Woman (Official Audio)

6. Ella Mai- Fallen Angel 

7.Ella Mai- Trying

8.Ella Mai- Sink Or Swim

9.Ella Mai- Fading Out

10.Ella Mai- Pieces

11.Ella Mai- A Mess feat Lucky Daye

12.Ella Mai- Feels Like