Mkali wa Singeli ‘Meja Kunta’ ametuletea hii remix ya Demu wangu akiwa na Marioo & Mabantu

Milard Ayo
Published: Mar 16, 2023 17:27:28 EAT   |  Entertainment

NI Mkali kutokea Singeli, Meja Kunta ambapo time hii ametuletea hii remix ya wimbo wake uitwao Demu wangu akiwa na Marioo na Mabantu. Unaweza ukabonyeza play kuitazama kisha usisahau kuandika neno lolote ili mkali huyo akipita asome mlichowaandikia.

NI Mkali kutokea Singeli, Meja Kunta ambapo time hii ametuletea hii remix ya wimbo wake uitwao Demu wangu akiwa na Marioo na Mabantu.

Unaweza ukabonyeza play kuitazama kisha usisahau kuandika neno lolote ili mkali huyo akipita asome mlichowaandikia.