Mkali wa Amapiano ‘Musa Keys’ atua Bongo kutumbuiza jukwaa moja na Marioo Usiku wa leo Mwanza

Ni headlines za msanii na Dj kutokea Afrika Kusini,Musa Keys ambae tayari ameshatua Dar es Salaam kwaajili ya kuwaimbia watanzania wanaoupenda muziki wao unaotikisa kwasasa unaofahamika kama Amapiano. Staa huyo leo Jumapili Septemba 10 ,2023 anatarajiwa kutumbuiza jukwaa moja na staa wa Bongo Fleva katika chimbo lililopo Mkoani Mwanza. Club Elevate.
Ni headlines za msanii na Dj kutokea Afrika Kusini,Musa Keys ambae tayari ameshatua Dar es Salaam kwaajili ya kuwaimbia watanzania wanaoupenda muziki wao unaotikisa kwasasa unaofahamika kama Amapiano.
Staa huyo leo Jumapili Septemba 10 ,2023 anatarajiwa kutumbuiza jukwaa moja na staa wa Bongo Fleva katika chimbo lililopo Mkoani Mwanza. Club Elevate.