Mkali wa Amapiano ‘Musa Keys’ ameshatua Dar kuinogesha Elements Masaki usiku wa leo

Milard Ayo
Published: Feb 11, 2023 16:21:18 EAT   |  Entertainment

Ni headlines za msanii na Dj kutokea Afrika Kusini, Musa Keys  ambae tayari ameshatua Dar es Salaam kwaajili ya kuwaimbia watanzania wanaoupenda muziki wao unaotikisa kwasasa unaofahamika kama Amapiano. Musa Keys anatarajiwa kutoa burudani leo Feb 11, 2023 katika Chimbo liliitwalo Elements BAR iliyopo Masaki Dar es Salaam na hizi ni baadhi ya picha alivyowasili […]

Ni headlines za msanii na Dj kutokea Afrika Kusini, Musa Keys  ambae tayari ameshatua Dar es Salaam kwaajili ya kuwaimbia watanzania wanaoupenda muziki wao unaotikisa kwasasa unaofahamika kama Amapiano.

Musa Keys anatarajiwa kutoa burudani leo Feb 11, 2023 katika Chimbo liliitwalo Elements BAR iliyopo Masaki Dar es Salaam na hizi ni baadhi ya picha alivyowasili katika Airport ya JNIA.

.
.
.
.

.
.
.
.