Mkali mwenye hit song iliyotikisa Afrika, kutua Dar es Salaam, kutoa burudani Jumapili hii

Milard Ayo
Published: Sep 27, 2023 13:50:13 EAT   |  General

Ni Mkali kutokea Nigeria, Eltee Skhillz ambae time hii anatarajiwa kutua kwaajili ya kuwaburudisha na kuwaimbia Watanzania. Staa huyo atatoa burudani ya nguvu kwa mara ya kwanza katika chimbo la Kidimbwi Beach lililopo Mbezi Jijini Dar es Salaam Jumapili hii ya tarehe 1 Mwezi wa Octoba 2023. Na Miogoni mwa nyimbo zake ziliomtambulisha ni hii […]

Ni Mkali kutokea Nigeria, Eltee Skhillz ambae time hii anatarajiwa kutua kwaajili ya kuwaburudisha na kuwaimbia Watanzania.

Staa huyo atatoa burudani ya nguvu kwa mara ya kwanza katika chimbo la Kidimbwi Beach lililopo Mbezi Jijini Dar es Salaam Jumapili hii ya tarehe 1 Mwezi wa Octoba 2023.

Na Miogoni mwa nyimbo zake ziliomtambulisha ni hii iitwayo Odg ambayo kupitia mtandao wa Youtube tangu iwekwe Mar 17, 2022 imetazamwa na watu wasiopungua 3,806,494  huku ikiwa bado inafanya vizuri kwenye platform mbalimbali.