Mkali Micky Singer kutokea Bongo Bongoflevani katuletea hii single mpya ‘Nobody’

Ni Mkali kutokea Bongo Flevani, Micky Singer ambae time hii ametuletea hii single mpya iitwayo Nobody. Unaweza ukabonyeza play kuisikiliza kisha usisahau kuandika neno lolote ili mkali huyo akipita asome mlichomuandikia.
Ni Mkali kutokea Bongo Flevani, Micky Singer ambae time hii ametuletea hii single mpya iitwayo Nobody.
Unaweza ukabonyeza play kuisikiliza kisha usisahau kuandika neno lolote ili mkali huyo akipita asome mlichomuandikia.