Mkali Juma Jux kuinogesha ‘Sunday Waves’ ya Elevate Club Mkoani Mwanza

Ni Mkali kutokea Bongo Flevani mwenye ladha ya R&B Juma Jux ambapo Usiku wa leo february 5, 2023 atatoa burudani ya nguvu Mkoani Mwanza. Juma atakutana na Mashabiki wake katika chimbo liitwalo levate – Club & Lounge iliyopo maeneo ya Malaika Beach Resort, Mwanza. Kwa wewe mtu wangu ambae upo kanda ya ziwa unaweza ukasogezea […]
Ni Mkali kutokea Bongo Flevani mwenye ladha ya R&B Juma Jux ambapo Usiku wa leo february 5, 2023 atatoa burudani ya nguvu Mkoani Mwanza.
Juma atakutana na Mashabiki wake katika chimbo liitwalo levate – Club & Lounge iliyopo maeneo ya Malaika Beach Resort, Mwanza.
Kwa wewe mtu wangu ambae upo kanda ya ziwa unaweza ukasogezea kipande hicho kuungana na mkali huyo wa Bongo Flevani kuzipata zile ladha kali.