Micky Singer ametuletea hii single mpya aliyomshirikisha Tommy Flavour ‘Jishaue’

Milard Ayo
Published: Mar 04, 2023 17:37:48 EAT   |  Entertainment

Ni Mkali kutokea Bongo Flevani, Micky Singer ambae time hii ameachia wimbo mpya aliyomshirikisha Tommy Flavour uitwao Jishaue. Unaweza ukabonyeza play kuusikiliza kisha usisahau kuandika neno lolote ili wakali hao wakipita wasome mlichowaandikia.

Ni Mkali kutokea Bongo Flevani, Micky Singer ambae time hii ameachia wimbo mpya aliyomshirikisha Tommy Flavour uitwao Jishaue.

Unaweza ukabonyeza play kuusikiliza kisha usisahau kuandika neno lolote ili wakali hao wakipita wasome mlichowaandikia.