Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”

Milard Ayo
Published: Mar 22, 2023 15:12:09 EAT   |  News

Katika kuanza funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, zaidi ya Kaya 1000 zinazokabiliwa na changamoto mbalimbali zimepatiwa vitu ikiwemo vyakula. Akizungumzia hatua hiyo, Aisha Mohammed ambaye ni Afisa Mwajiri wa GP amesema..”Tunachokifanya ni kurudisha kwa jamii ambapo tumeona mwaka huu ni kuwapatia vitu mbalimbali ikiwemo vyakula kama Sukari, Mchele na Unga na tumezifikiw Kaya 1000,”. […]

Katika kuanza funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, zaidi ya Kaya 1000 zinazokabiliwa na changamoto mbalimbali zimepatiwa vitu ikiwemo vyakula.

Akizungumzia hatua hiyo, Aisha Mohammed ambaye ni Afisa Mwajiri wa GP amesema..”Tunachokifanya ni kurudisha kwa jamii ambapo tumeona mwaka huu ni kuwapatia vitu mbalimbali ikiwemo vyakula kama Sukari, Mchele na Unga na tumezifikiw Kaya 1000,”.

“Lengo kuu hasa ni kurudisha kwa jamii, na tunawakusudia waliokuwa kwenye mazingira magumu katika Kata ambazo hazina uwezo, pia vyakula vyetu ukiondoa Temeke tumevipeleka Mwanza, Mbeya na Bagamoyo na kwa Temeke pekee tumetoa kwa Kaya 300,” amesema Aisha.

.
.
.